Not Free
Silaha Saba
by Pr David Mmbaga
Katika maisha ya yetu, tumesikia mengi yakisemwa hasa kuhusu vita ya kiroho,maneno kama; 'jambo hili ni la kiroho,''hapa twende kiroho zaidi' na mengine kama hayo, yamekuwa yakisikika, lakini je maana yake hasa ni nini? Jibu lipo ndania ya Kitabu Hiki
113 pages 2023 TZS 6,000